Dopamine na Uraibu Kutenganisha Dhana Potofu na Ukweli

Je, Dopamine ni Nini? Huenda umewahi kusikia jina dopamine likitajwa kama "kemikali ya raha" inayohusishwa na tabia za uraibu. Watu wengi hutumia maneno kama “dopamine rush” kueleza msisimko wa ghafla wanaoupata wanapofanya jambo linalowapa raha iwe ni kununua kitu kipya au kupata zawadi isiyotarajiwa.

Narcotics Anonymous (NA) ni nini?

Katika dunia ambayo uraibu wa dawa za kulevya unaendelea kuharibu maisha, Narcotics Anonymous (NA) inajitokeza kama mwanga wa matumaini. Iwe unatafuta msaada wewe mwenyewe, unamsaidia mpendwa au una hamu ya kuelewa zaidi, kuelewa NA kunaweza kuwa hatua muhimu ya kwanza.

Detoxification ni nini?

Detoxification nikitendo cha mtumiaji wa dawa za kulevya ikiwemo pombe kujipiga ndonga kujiweka Mbali na dawa za kulevya pamoja na vyanzo vyote vya dawa za kulevya kwa lengo la ku ruhusu mwili wake utoe sumu ya dawa za kulevya alizo kuwa akitumia.

Jinsi ya kudhibiti kurejea kwenye uraibu "Relapse"

Kuzuia kurudia matumizi ni sehemu muhimu ya mchakato wa kupona kutokana na uraibu. Kurudia mara kwa mara kunaweza kuwazuia watu kusonga mbele katika kushinda uraibu wao.

Chanzo cha uraibu

Ni muhimu kufaham kwamba hakuna chanzo kimoja pekee cha uraibu. Hakuna mtu anayeweza kutabiri kwa uhakika ni nani atakayepata uraibu baada ya kutumia dawa za kulevya na ni nani hatapata. Sababu kuu za uraibu ni pamoja na mshtuko wa kihisia (trauma), matatizo ya afya ya akili, na kurithi tabia fulani kutoka kwa wazazi (vinasaba). Hata hivyo, ni muhimu kufahamu kwamba hakuna chanzo kimoja pekee cha uraibu.

Uraibu ni nini?

Wengi wetu huenda tumesha sikia neno uraibu au labda ni mara ya kwanza unasikia neno hili, na unajiuliza uraibu ni nini? Kwenye makala haya tuta kwenda kuangalia maana ya uraibu kiu ndani.

KUPATA MAKALA ZETU

Jiunge kwenye newsletter, tuta kutumia vitu vizuri tu!