Picha zina ongea kuliko maneno, pale ambao maneno yame feli kuelezea makazi, malazi, vyakula na shughuli mbali mbali ambazo wanachama hushiriki wakiwa kwenye nyumba zetu za utulivu, basi picha zita tusadia kufikisha ujumbe.